WAWATA TANZANIA
Uwezeshaji Kiuchumi
WAWATA imekuwa na historia ya kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia elimu, vikundi, miradi, mikopo inayozunguka na mafunzo ya biashara.
Mfumo una moduli za vikundi vya uchumi, mikopo, marejesho, wafadhili, ruzuku na miradi kwa matumizi yaliyoidhinishwa.
